IQNA

Jumba la Makumbusho la Sanaa, Tashkent, Uzbekistan

TEHRAN (IQNA)-Jumba la Makumbusho la Sanaa, katika mji mkuu wa Uzbekistan, Tashkent. Uzbekistan nini nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu Asia ya Kati. Asilimia 80 ya wakaazi wa nchi hiyo ni Waislamu.