Katika baadhi ya nchi Swala ya Idi haikuswaliwa ndani ya misikiti au kumbi za swala au viwanja vya swala bali imeswali majumbani huku baadhi ya nchi zikiruhusu swala lakini kwa sharti la kuzingatia kanuni za kiafya za kuzuia kuenea ugonjwa wa coron kama vile kuvaa barakoa na kutokaribiana ndani ya misikiti au viwanja vya swala.
Bangkok, Thailand
Jakarta, Indonesia
UAE
Sharjah, UAE
Java, Indonesia
Aceh, Indonesia
UAE
Aceh, Indonesia
Jakarta, Indonesia
Jakarta, Indonesia
Kerala, India
Kabul, Afghanistan