TEHRAN (IQNA)-Shirika la mavazi ya michezo la Nike limeanza kuuza 'Hijabu ya Wanamichezo' ambayo ni maalumu kwa wanamichezo wa kike Waislamu wanaotaka kujisitiri.
Habari ID: 3471305 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/11
IQNA: Shirika la bidhaa za micehzo la Nike limechukua hatua ya kuingia katika sekta yenye faida ya mavazi ya wanawake Waislamu kwa kuzindua Hijabu maalumu ya kuvaliwa na wanamichezo .
Habari ID: 3470886 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/09