IQNA

Msikiti Scotland wahujumiwa kwa maandishi ya kibaguzi

TEHRAN (IQNA) - Polisi katika jimbo la Scoltand nchini Uingereza wanachunguza kitendo cha uhalifu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) baada ya maandishi...

Gaidi aliyewaua kwa umati Waislamu New Zealand afikishwa kizimbani

TEHRAN (IQNA)- Gaidi raia wa Australia aliyefanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu katika mji wa Christchurch huko New Zealand amefikishwa kizimbani kujibu...
Bi. Marziyah Hashemi

Kilichonivutia katika Uislamu ni Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu)

TEHRAN (IQNA) – Mmarekani-Muirani mwenye asili ya Afrika, Bi. Marzieh Hashemi anasema msingi wa Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) ni nukta ambayo ilimvutia...

Rais Magufuli wa Tanzania ahudhuria mashindano ya Qur’ani

TEHRAN (IQNA)- Rais John Magufuli wa Tanzania amehuhdhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani yaliyofanyika Jumapili Mei 19.
Habari Maalumu
Iran inakaribia makabiliano ya pande zote na adui
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Iran inakaribia makabiliano ya pande zote na adui

TEHRAN (IQNA) - Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC), amesisitiza kwamba maadui wamefikia mwisho wa njia na kwamba...
17 May 2019, 12:23
Mipango 126 mipya ya ubunifu katika maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tehran

Mipango 126 mipya ya ubunifu katika maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tehran

TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran mwaka huu yana mipango 126 ya ubunifu katika sekta ya Qur’ani na hivyo kuyafanya yawe...
13 May 2019, 11:07
Misikiti 300 kufunguliwa Misri katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Misikiti 300 kufunguliwa Misri katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu huko Misri ametangaza kuwa misikiti 300 itafunguliwa nchini humo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
12 May 2019, 20:23
Maandamano baada ya Sala ya Ijumaa Iran kuunga mkono hatua za kukabiliana na Marekani

Maandamano baada ya Sala ya Ijumaa Iran kuunga mkono hatua za kukabiliana na Marekani

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran ya Kiislamu wameandamana nchi nzima baada ya Sala ya Ijumaa kuunga mkono hatua zilizochukuliwa na serikali ya Iran kusimamisha...
10 May 2019, 22:08

"Qur'ani, Maana ya Maisha" ni nara ya Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamepangwa kuanza Jumamosi 11 Mei katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
09 May 2019, 11:58
Iran yasitisha kwa muda utekelzwaji baadhi ya vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA

Iran yasitisha kwa muda utekelzwaji baadhi ya vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA

TEHRAN (IQNA) -Iran imesimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA),...
08 May 2019, 14:08
Qur'ani Tukufu ni chanzo cha ustawi wa hali ya juu wa Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Qur'ani Tukufu ni chanzo cha ustawi wa hali ya juu wa Iran

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislaamu amesisitiza kuwa: " Chanzo cha izza inayoongezeka na ustawi wa hali ya juu wa taifa la Iran...
07 May 2019, 08:53
Hospitali nchini Canada yawapa wagonjwa chakula halali

Hospitali nchini Canada yawapa wagonjwa chakula halali

TEHRAN (IQNA) – Hospitali moja katika eneo la Fort McMurry, mkoani Alberta, nchini Canada imekuwa hospitali ya kwanzake katikaukanda wa Alberta kaskazini...
06 May 2019, 12:41
Misikiti New York yaimarisha usalama katika Mwezi wa Ramadhani

Misikiti New York yaimarisha usalama katika Mwezi wa Ramadhani

TEHRAN (IQNA)-Misikiti katika eneo la Long Island mjini New York nchini Marekani imeimarisha usalama kwa kuwaajiri walinzi wenye silaha katika Mwezi Mtukufu...
05 May 2019, 11:42
Katibu Mkuu wa OPEC: Haiwezekani kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

Katibu Mkuu wa OPEC: Haiwezekani kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

TEHRAN (IQNA)- Hatua ya serikali ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA imekabiliwa na upinzani...
04 May 2019, 09:18
Marekani na utawala wa Kizayuni zinachochea vita dhidi ya Lebanon
Sayyid Hassan Nasrallah

Marekani na utawala wa Kizayuni zinachochea vita dhidi ya Lebanon

TEHRAN - (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hali katika Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) inaonyesha kuwepo uchochezi unaotekelezwa...
03 May 2019, 10:36
Picha