iqna

IQNA

CNN
TEHRAN (IQNA) Kanali yaTelevisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mchambuzi wake wa muda mrefu kwa sababu ya kukosoa ukatili na udhalimu wa utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Habari ID: 3471757    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/01