iqna

IQNA

Uzbekistan
Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho La Louvre la Paris limefungua maonyesho mapya ambayo kwa kiasi fulani yanaonyesha baadhi ya kurasa za mojawapo ya nakala kongwe zaidi za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476344    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi kwa mara nyingine tena
Habari ID: 3475791    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Kikao cha Tehran
TEHRAN (IQNA)-Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi JIrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474482    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Swala ya Ijumaa itaswaliwa tena nchini Uzbekistan kuanzia Septemba 4.
Habari ID: 3473131    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/02

TEHRAN (IQNA) – Wanawake nchini Uzbekistan wameshiriki katika mashindano ya Qur'ani ambaye yamefanyika hivi karibuni katika mji mkuu, Tashkent.
Habari ID: 3472247    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA)-Jumba la Makumbusho la Sanaa, katika mji mkuu wa Uzbekistan , Tashkent. Uzbekistan nini nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu Asia ya Kati. Asilimia 80 ya wakaazi wa nchi hiyo ni Waislamu.
Habari ID: 3471775    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/18