Habari Maalumu
IQNA – Libya imetangaza washindi wa Tuzo ya 13 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu, iliyofikia tamati mjini Benghazi kwa ushiriki wa zaidi ya mataifa 70.
29 Sep 2025, 12:42
IQNA – Toleo la kwanza la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani ya Iran ya “Zayin al-Aswat” (mapambo ya sauti) linatarajiwa kufanyika katika mji mtakatifu wa...
28 Sep 2025, 15:45
IQNA – Katika kumbukumbu ya kifo chake, Kituo cha Fatwa cha Kimataifa cha Al-Azhar kimemuenzi Sheikh Mohammed al-Sayfi, akimtaja mtaalamu na msomi wa Misri...
28 Sep 2025, 15:30
IQNA – Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Vitabu ya Amman 2025 yalifunguliwa Alhamisi, Septemba 25, katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Jordan, kwa...
28 Sep 2025, 13:44
IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba aliyotoa kwa ajili ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah,...
28 Sep 2025, 13:32
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amehutubia mjini Beirut maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah...
28 Sep 2025, 13:23
IQNA-Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Tafsiri ya Qur’ani na Maandishi ya Kidini nchini Iran, Karim Dolati, ametangaza kuwa taasisi hiyo imekagua kati ya...
27 Sep 2025, 17:51
IQNA-Katika mwezi wa Rabi al-Awwal 1447 Hijria, Misikiti Miwili Mitakatifu—Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume (SAW) huko Madina, imepokea jumla...
27 Sep 2025, 16:58
IQNA-Mashindano ya sita ya kuhifadhi, kusoma, na Tajwidi ya Qur’ani Tukufu nchini Morocco yameingia katika hatua ya mwisho, yakifanyika kuanzia Ijumaa...
27 Sep 2025, 16:48
IQNA- Kisa cha kweli cha Alfred Huber ni simulizi ya mtu aliyesafiri kimwili na kiroho, akivuka dini, tamaduni na lugha, hadi alipogundua mwangaza wa...
27 Sep 2025, 16:42
IQNA - Polisi wa Singapore wamemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 61 kwa tuhuma za kutuma kifurushi chenye nyama ya nguruwe kwa makusudi ya kuwadhalilisha...
27 Sep 2025, 17:55
IQNA – Idadi ya safari za ndege zinazowasafirisha waumini wa ibada ya Umrah kutoka Iran kwenda Saudi Arabia imeongezeka tangu mwanzo wa wiki hii.
26 Sep 2025, 15:14
IQNA- Meya wa jiji la London, Sadiq Khan, amemjibu kwa ukali Rais wa Marekani Donald Trump, akimtuhumu kuwa “mbaguzi wa rangi, jinsia, wanawake na mwenye...
26 Sep 2025, 15:07
IQNA – Serikali ya Maldivi (Maldives) inakusudia kuanzisha matawi ya Kituo cha Qurani katika visiwa vyote vya nchi hiyo.
26 Sep 2025, 14:30
IQNA – Waandamanaji wamepambana na vikosi vya usalama vya India katika jimbo lenye Waislamu wengi la Ladakh siku ya Jumatano, na ripoti zikisema angalau...
26 Sep 2025, 14:14
IQNA-Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi watu...
26 Sep 2025, 15:22