iqna

IQNA

amesilimu
Wanamichezo Waislamu
IQNA – Patrice Beaumelle, kocha wa soka wa Ufaransa ambaye kwa sasa anaongoza timu ya Mouloudia d'Alger katika ligi kuu ya soka ya Algeria, amesilimu .
Habari ID: 3478748    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28

Uislamu unaenea
TEHRAN (IQNA) – Mchezaji aliyestaafi wa masumbwi aina ya kickboxing Andrew Tate amethibitisha kuwa yeye ni Muislamu baada ya klipu yake akisali katika msikiti mmoja Dubai akiwa na rafiki kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476012    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31

TEHRAN (IQNA)- Aliyekuwa nyota wa timu ya Soka ya Cameroon, Patrick Mboma amesilimu leo na kuchagua jina la Abdul-Jalil ambalo atalitumia akiwa Mwislamu.
Habari ID: 3475251    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14