iqna

IQNA

mboma
TEHRAN (IQNA)- Aliyekuwa nyota wa timu ya Soka ya Cameroon, Patrick Mboma amesilimu leo na kuchagua jina la Abdul-Jalil ambalo atalitumia akiwa Mwislamu.
Habari ID: 3475251    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14