iqna

IQNA

imam ali as
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali AS katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.
Habari ID: 3473680    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24

TEHRAN (IQNA)- Ujumbe kutoka makao makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican, umetembelea Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473645    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/12

Katika kipindi cha miaka 23, Bwana Mtume SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3473044    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/07

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Kufa ambao uko mjini Kufa Iraq ni katika ya misikiti mikubwa zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni msikiti wa nne kwa utukufu baada ya Al-Masjid al-Haram, Al-Masjid an Nabawi (SAW) na Masjidul Aqsa.
Habari ID: 3472773    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/17

TEHRAN (IQNA) – Tuko katika mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS, siku ambayo nchini Iran pia ni maarufu kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3472543    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/07

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani leo wanaadhimisha sikukuu ya Ghadir ambayo ni kati ya siku muhimu zaidi katika kalenda ya historia ya Uislamu.
Habari ID: 3472092    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/20

TEHRAN (IQNA)-Tarehe 23 Ramadhani takribani miaka 1399 iliyopita Ali bin Abi Talib AS Khalifa wa baada ya Mtume Muhammad SAW na mmoja wa watu wa Nyumba Tukufu ya Bwana Mtume alikufa shahidi.
Habari ID: 3471544    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/05

Imam Ali AS alisema: Pepo inapatikana kwa amali na wala si kwa kutamani. Ghurar Al-Hikam Wa Durar Al-Kalim Uk.350 Hadithi ya 4355
Habari ID: 3471437    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21

TEHRAN (IQNA)-Nakala nne nadra za Qur'ani Tukufu ni kati ya turathi zenye thamani katika maktaba ya Msikiti wa Sayyida Zainab mjini Cairo, Misri.
Habari ID: 3471372    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/26

TEHRAN (IQNA)-Mufti Mkuu wa Misri Shawqi Ibrahim Abdel-Karim Allam amesema Imam Ali AS alitabiri kudhihiri kundi la kigaidi la ISIS zaidi ya miaka 1400 iliyopita.
Habari ID: 3470935    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/15

TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3470930    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/11

Hongera kwa munasaba wa kuanza mwezi wa Rabiul Awwal, machipuo ya uhai
Habari ID: 3470707    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
Habari ID: 3470572    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19

Tuko katika siku ya 21 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo inasadifiana na munasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3470418    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/27

Sira ya Imam Ali AS
Habari ID: 3470416    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/26

Kiongozi Muadhamu Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha vipengee kadhaa vya hekima za Imam Ali bin Abi Twalib (as) zilizoandikwa katika kitabu cha Nahjul Balagha.
Habari ID: 3470413    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/24