iqna

IQNA

utawala haramu wa israel
TEHRAN (IQNA) – Harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina za Hamas na Jihad Islami zimetangaza kuunga mkono harakati za wananchi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya njama za utawala wa Kizayuni za kuteka eneo hilo.
Habari ID: 3472907    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumapili lilishambulia kwa mizinga eneo la Ukanda wa Ghaza na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina, Mohammed Ali al-Naim aliyekuwa na umri wa miaka 27.
Habari ID: 3472502    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/24

TEHRAN (IQNA) – ‘Muamala wa Karne’ ambao umependekezwa na Marekani kwa lengo la kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kukandamiza ukombozi wa Palestina unaendelea kupingwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472016    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/24

TEHRAN (IQNA)-Rais Donald Trump wa Marekani amelaani vikali na kutengwa kimataifa kudai kuwa kuwa utawala haramu wa Israel unamiliki miinuko ya Golan ya Syria.
Habari ID: 3471887    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/24

TEHRAN (IQNA) -Utawala dhalimu wa Israel umewaua kwa umati Wapalestina sambamba na hatua iliyo kinyume cha sheria za kufunguliwa ubalozi wa utawala wa Marekani katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471515    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/16

TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameweka kambi maalumu za kusoma Qur'ani katika maeneo ya 'Maandamano ya Kurejea' katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiwafyatulia risasi na kuwaua Wapalestina.
Habari ID: 3471498    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06

TEHRAN (IQNA)-Mjukuu wa hayati Shujaa Nelson Mandela wa Afrika Kusini ameitaka nchi hiyo ikate uhusiano wote wa kidiplomasia na kibiashara na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471111    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08