IQNA – Qur’ani Tukufu inawakumbusha Watu wa Kitabu (Ahlul Kitab), wanaojinasibu kuwa wafuasi wa Nabii Ibrahim (AS), kuwa ikiwa madai yao ni ya kweli, basi wanapaswa kuamini msingi wa Ibrahimu katika ujenzi wa Kaaba na kuitambua kama Qibla (eneo la kuelekea wakati wa swala) ya kweli ya Mwenyezi Mungu.
15:32 , 2025 Jun 09