IQNA-Katika maneno matukufu ya Qur’ani, Mwenyezi Mungu anaitambulisha Kaaba kama nyumba ya kwanza iliyoanzishwa kwa ajili ya ibada ya Mola Mmoja wa kweli. Katika Surah Aal Imran, aya za 96-97, utukufu na umuhimu wa nyumba hii takatifu vinaelezwa wazi:
17:25 , 2025 Jun 05