iqna

IQNA

Beirut
Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza utayarifu kamili wa muqawama katika nyanja mbalimbali na kuutaja ushindi wa mwisho wa muqawama na kushindwa adui Mzayuni kkwamba, ni hakika na jambo lisilo la shaka.
Habari ID: 3477936    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Mhimili wa Muqawama
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Ijumaa alionana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa.
Habari ID: 3476931    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/29

Rais Vladimir Puton wa Russia amesema harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ina nafasi muhimu katika uga wa kisiasa nchini Lebanon.
Habari ID: 3474455    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22

TEHRAN (IQNA)- Siku tatu za maombolezo zimetangaza nchini Lebanon baada ya watu saba kuuawa na wanamgambo wakati wa maandamano ya jana katika mji mkuu Beirut .
Habari ID: 3474425    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Duru za habari nchini Lebanon zimeripoti kuwa mapigano makali yanendelea baina ya askari usalama na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo idadi ya waliouawa sasa ni sita na waliojeruhiwa ni zaidi.
Habari ID: 3474422    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
Habari ID: 3473045    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08

TEHRAN (IQNA) – Mbunge wa zamani wa utawala haramu wa Israel amebainisha furaha yake kufuatia mlipuko uliojiri katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kuua idadi kubwa ya watu.
Habari ID: 3473040    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia tukio la mlipuko katika bandari ya Beirut nchini Lebanon na kutangaza kuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo katika kipindi hiki kigumu.
Habari ID: 3473039    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06

TEHRAN (IQNA) - Mlipuko mkubwa umejiri Jumanne Agosti 5 2020 katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut na kusababisha zaidi ya watu 100 kupoteza maisha na wengine wasiopungua 4,000 kujeruhiwa.
Habari ID: 3473036    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05

TEHRAN (IQNA) – Rais Hassan Rouhani wa Iran amemtumia ujumbe wa rambi rambi mwenzake wa Lebanon Michel Aoun kufuatia miripuko iliyojiri katika mji mkuu wan chi hiyo Beirut .
Habari ID: 3473035    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05

TEHRAN (IQNA) - Mlipuko mkubwa umeutikisa mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo taarifa zinasema watu wasiopungua 100 wamepoteza maisha. Yamkini idadi hiyo ikaongezeka kwani baadhi ya waliojueruhiwa wako katika hali mahututi.
Habari ID: 3473034    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la ugaidi lililofanywa na kundi la kitakfiri la ISIS au Daesh nchini Lebanon siku ya Alhamisi ambapo watu 43 waliuawa na wengine zaidi ya 240 wamejeruhiwa.
Habari ID: 3447662    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/13

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya njama za Marekani, utawala ghasibu wa Israel na matakfiri katika Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3393522    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Kimataifa Ali Akbar Velayati amekutana na kiongozi wa Hizbullah ya Lebanon mjini Beirut na Rais Bashar al Assad wa Syria mjini Damascus.
Habari ID: 3305555    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/19